Soka : Seninga, Bakame, Savio, na Rwarutabura katika mbio za mwanaspoti wa msimu huu.

Rwarutabura ambaye ni shabiki maarufu wa Rayon sports
Shirikisho la soka nchini Rwanda FERWAFA limetolea orodha ya wakufunzi, wachezaji, marefari na washangiliaji waliotimiza majukumu yao vizuri kuliko wengine msimu huu wa kandanda 2015-2016 nchini Rwanda.

Hawa wanaspoti wanatarajiwa kutepewa tuza zao rasmi katika sherehe itakayofanyika tarehe 18, mwezi Julai, mwaka huu.

Hivi sasa APR FC ambayo ni timu ya kijesha imeshachukua kiti cha ubingwa wa msimu huu ambako yeye inatarjiwa kuchukua kombe na cheti chenye thamani ya milioni 10 baada ya mechi yao dhidi ya AS Kigali jumapili tarehe ya 18,Julai,2016 uwanjani wa Kigali.

Mabingwa wa msimu 2015/16

APR FC

ORODHA YA WAGOMBEA

Mufungaji bora

Hakizimana Muhadjiri (Mukura VS) afite ibitego 15
André Lomami (SC Kiyovu) magoli14
Dany Usengimana (Police Fc) magoli 14
Kasirye Davis (Rayon Sports) magoli 13
Ismaila Diarra (Rayon Sports) magoli 12
Christopher Ndayishimiye (Mukura) magoli 12

Mchezaji wa mwaka

Kwizera Pierrot (Rayon Sports)
Nshuti Savio Dominique (Rayon Sports)
Hakizimana Muhadjiri (Mukura VS)

Kipa wa mwaka

Ndayishimiye Eric Bakame (Rayon Sport)
Mutabazi Jean Paul (SC Kiyovu)
Mpazimpaka André (Mukura VS)

Kocha wa mwaka

Eric Nshimiyimana (AS Kigali)
Bizimungu Ally (Bugesera Fc)
Seninga Innocent (Etincelles Fc)

Refari wa mwaka

Hakizimana Louis
Munyemana Hudu
Niyonkuru Zephanie

Shabiki wa mwaka

Rwarutabura (Rayon Sports/Amavubi)
Munyaneza uzwi nka Rujugiro (APR FC/Amavubi)
Fietzek Michael Martin uzwi nka Mike La Gallette (APR FC/Amavubi)

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments