Ajali ya gari yenye bango la volcano nchini Uganda

Leo asubuhi sw.makuruki.rw imefikiwa na habari isemayo kuwa gari ya kampuni inayosafirisha abiria kutoka Rwanda kuelekea Uganda, nchi inayopakana na Rwanda katika kasikazini kuwa ilifanya ajali wakati ilipokuwa kutoka Rwanda kwenda Kampala mji mkuu wa Uganda.

Hivi sasa hakuna mtu aliyejulikana kufariki dunia katika ajali. lakini watu bado kujulikana idadi yao, wanahofiwa kujeruhiwa katika hii ajali.

Gari hii ya kampuni ya Volcano Express iligongwa na lori Wilayani Masaka wakati ilipokuwa kwenda Kampala.

Lakini bado tunaendelea kufuata habari hii kwa kina.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments