Rais Robert Mugabe awasili Rwanda

Robert Gabriel Mugabo ambaye ni Rais wa Jamhuri wa Zimbabwe amefika uwanjani wa ndege Kanombe jana jioni ya alhamisi tarehe 14, mwezi Julai, 2016.

Rais Mugabe amekiuja Rwanda kwa kuhudhuria mkutano mkuu wa muungano wa Afrika ambayo unaendelea kufanyiak nchini Rwanda tangu tarehe 10 mwezi huu.

Mugabe ni miongoni mwa marais 35 ambao Bi Mushikiwabo Louise ambaye ni waziri wa mashauri ya kigeni na ushirikiano nchini Rwanda alithibitisha kuwa watashuhudia kikao cha marais.

Baada ya kutua uwanjani wa ndege, Rais Mugabe amepokelewa na Balozi Francis Gatare ambaye ni mkuu wa bodi ya maendeleo nchini Rwanda RDB


Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments