#AU SUMMIT 2016 : Wanyarwanda wanaombwa kuwa na desturi ya Usafi.

Tangu tareke 10 hadi 18 mwezi Julai mwaka huu wa 2016, Rwanda itakuwa kuenyeji mkutano mkuu wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa mara ya 27. Watu wanaoishi mjini Kigali na wale wanaotembea mjini wameombwa na uongozi wa mji wa kigali kuwa na tabia ya usafi na kupokea vizuri wageni.

Meya wa mji wa Kigali Bi Mukaruliza Monique ameomba wananchi kuwa na desturi ya usafi ili kuonesha wageni kwamba Rwanda ni nchi inayo tabia ya usafi kwenye kiwangogezi cha kimataifa kama mji ulipopata umaarufu wa kuwa mji wenye sifa ya usafi.

Hii leo ya jumapili tarehe 10, mkutano mkuu wa umoja wa Afrikaumezindua na Mkuu wa kamisheni ya umoja wa Afrika Bi Zuma ambako amehamasisha washiriki kujijengea fursa za uchumi.

AU SUMMIT2016 mjin Kigali kwa mara ya 27 unataarajia kudhuriwa na marais 35 barani Afrika na watalaam kadhaa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments