Picha : Maandalizi ya mkutano mkuu wa AU hufika tamati

Tangu tarehe 10 hadi 18 mwezi Julai mwaka 2016, Jamhuri itakuwa kupokea mkutano mkuu utakaofanyika kwa mara ya 27 mjini Kigali.


Jengo lenye umbo nusu yao litakalopokea kikao cha hao viongozi
Mkutano huo unatarajia kuvutia watu zaidi ya 3000 kutoka kila kona barani Afrika wakiwemo watalaam katika nyanja mbalimbali, marais na wengineo.

tatani ya Kigali Convetion Center kuna hoteli yenye five stars
Tangu Rwanda kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano huo wa Muungano wa Afrika ilitumia juhudi nyingi ili ikamilishe maandalizi yote haraka.
Karibu na jengo hilo la Kigali Convention kuna Jengo liitwalo Kigali Heights, hili ni jengo la kibiashara, jengo hili linaloonyeshi jinsi inajiendeleza kiuchumi.Kondakonda ya barabara kuna mabendera ya nchi za Afrika
Nchi ya Rwanda, ni nchi inayojua umuhimu wa mitaani ndio maana kwa kujiandaa vizuri mkutano mkuu wa Umoja wa mataifa, imejitahidi kutengeneza mabarabara na mizunguko tangu uwanja wa ndege Kanombe hadi mahali popote mjini Kigali.


eneo la Rubangura kati mjini Kigali
Siku zilizopita wakati Dkt Nkosazana Dlamini Zuma, mkuu wa tume ya umoja wa Afrika AU, alipokuwa ziarani nchini Rwanda, Yeye alishukuru Rwanda kwa maandalizi mazuri na pia alisema kwamba yeye ana matumaini kuwa mkutano utakuwa fresh.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments