PICHA : Waziri mkuu wa Israel amefika Ethiopia

Baada ya kuondoka Rwanda jana jioni, waziri mkuu wa Isarael na mkewe Sara Netanyahu, walichukua anga wakielekea nchini Ethipia.

In Ethiopia alikaribishwa huko na waziri mkuu wa Nchi hiyo Bwana Hailemariam Desalegn


Ethiopia ni nchi ya mwisho kwenye ajenda yake ya ziara alizofanyia katika ukanda wa Afrika mashariki ambako alianzia nchini Uganda, Kenya, na Rwanda.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments