Tanzania yatoa salamu za rambirambi kwa wanyarwanda

Salim Kijuu aliyetoa wanyarwanda salamu za rambirambi kwa jina la nchi yake na watanzania kwa ujumla
Uongozi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania watoa salamu za rambirambi kwa wanyarwanda kwa sababu ya raia watatu wa Rwanda walioteketea katika ajali ya gari nchini humo, jimboni la Kagera.
Wao walifariki, baada ya gari yenye Namba 229 B kukosa barabara wiki jana.

Watu waliopoteza maisha yao maisha katika ajali, ni Hategekimana Theogene mwenye umri wa miaka 30, Bizimungu Shaban, 29, na Alafa Ndovaya wa miaka 32.
Mkuu wa Polisi mkoani humo, Salim kijuu alisema kwamba huu ni muda wa huzuni na majonzi kwa wanyarwanda, hii ndiyo sababu nchi ya Tanzania inawapa pole wanyarwanda .

Salim Kijuu amesema ‘’tunawapa pole familia zao, nadhani Mungu atawasaidia kuvuta subira.’’

Ajali hiyo ilitokea nchini Tanzanai, katika maeneo ya milima mirefu kwenye barabara Lusahungu-Rusumo kama Daily inavyosema.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments