Viongozi kwenye viwango vya juu wapigwa kalamu nyekundu kazini.

Tangu kushoto Nathana Mugume na Dk Corine Karema
aliyekuwa msemaji wa wizara ya Afya Rwanda na mjibika wa kupambana na Malaria katika kitovu cha matibabu Rwanda RBC, Wao walifutwa kazini kwa dhahiri kutokana na uamuzi wa kikao cha mawaziri kilichofanyika tarehe 24 mwezi Juni mwka huu, kikiongozwa na Rais Paul Kagame.

Baraza la mawaziri wamekubali amri ya waziri mkuu ya kuwakimbiza kazini Bwana Nathan Mugume ambaye aliyekuwa msemaji wa waizara ya Afya na Dk Karema Corine amabaye aliyekuwa mjibika wa kukabiliana na uogonjwa wa Malaria. Kutokana na makosa waliofanya kazini.

Licha ya kutangaza kwamba wamefutwa kazini, Tangazo hilo hakufafanua wazi makosa wao waliotenda kazini.

Wizara ya Afya na RBC wote walisikika magazetini wakidaiwa kupoteza bila sababu faranga za serikali ; kwa mfano Miaka ya nyuma,
Wizara ya Afya ilisemekana kupoteza mamilioni ya faranga za Kinyarwanda ikinunua vyandarua feki ambavyo husemekana kuwa sababu kubwa ya uongezeko wa Malaria.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments