Baada ya kufanya mapenzi na binti jirani yake,alijikuta ana matiti na kiuno kama mwanamke

15

Habari kutoka nchini Uganda zinaarifu kuwa mwanaume anayejulikana
kwa jina la Okoyiki alionekana tarehe 19 Mei 2015 majira ya saa 9 za mchana katika barabara ya Jinja Load huku umati wa watu ukiduwaa kumuona mwanaume wa aina yake akiwa amevaa uchi.

Okoyiki hapa anaonekana akiwa na matiti na kiuno kama alivyoumbwa mwanamke, miguu yake hakuna mabadiliko.

Okoyiki, inaelezwa kwamba kuna kitambo alikuwa ameachana vibaya na mkewe baada ya kumgundua akiwa anafanya mapenzi na binti mmoja jirani yake, mke wake hakuwa na jingine bali alikwenda kutafuta mchawi kwa ajili ya kumkomesha mmewe., ni kwa mantiki hiyo mwili wa bwanake ulibadilika kama wa mke.

Mbali na uso wake, sehemu nyingine yote na maumbile ya huyu mwanaume ni kama ya mwanamke.

Mwanaume huyu inasemekana kuwa amekuwa na kichaa na kuzurura zurura barabarani akiwa uchi, umati wa watu ukija kumuona na kumpiga picha.

Kifuani mwake kuna matiti kama ya wanawake pamoja halafu ana kiuno kama cha mwanamke (akabina kwa lugha ya kiganda ) na ume wake ulibadilika kuwa wa kike, maajabu haya.

Okoyiki ambaye anaonekana kuwa kichaa hata kuongea ni shida, mke wake hajulikani anakoishi siku hizi na haijulikana alikomtoa mchawi.
Suali la kujiuliza, je mtu ambaye mlifunga ndoa akifanya mapenzi na mwingine anastahili, kulipiza kisasi kama kicho ?

Stori & picha : Peter/Makuruki.rw/Kampala

Changia hii habari na wenzako.

Comments 15

  1. Yule mke wa huyu baba alikuwa mchawi tu, siyo kwahili amejifunzia, hii ni ndazi ya juu aliyofikia. Tahadhari wamama munaanza tubebesha mzigo wenu wa kifuani !! Najua huyo mke alipora huyu kila kila kitu. Wanaume wanakwisha hivyo,

  2. ndiyo hatakama mmewe kafanya kosa kwa nini hakumsamee ni wangapi wana wake wana kwenda kinyume na ndoa ila wanasamehewa ema kwa nini mke wake hakuomba basi talaka wakaachana kwa upendo. ewe Mola tusamee

  3. 1 | 2

Tumia Comments