Picha : Rais Idriss Déby awasili Rwanda

Rais Idriss Deby Itno wa Jamhuri ya Tchad na pia mkuu wa umoja wa Afrika AU amefika Rwanda katika ziara ya kikazi.

Mheshimiwa Deby akikaribishwa na Bi. Louise Mushikiwabo, Jenerali Paterick Nyamvumba na Mkuu wa Polisi IGP Emmanuel K. Gasana

Idriss Deby akimsalimia mtoto baada ya kutua uwanjani wa ndege Kanombe

Mheshimiwa Itno akifika uwanjani wa ndege Kanombe amepokelewa kwa heshima kubwa na Waziri wa mambo ya kigeni na ushirikiano Louise Mushikiwabo ambapo pia alipokuwa pamoja na mkuu wa jeshi ya Rwanda Jenerali Patrick Nyamvumba na mkuu wa Polisi ya Rwanda IGP Emmanuel K. Gasana.

Janvier KARANGWA
@sw.makuruki.rw

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments