Maelfu wazimiwa simu zao Tanzania

Maelfu ya Watanzania hawawezi kuwasiliana na rafiki zao, familia zao ama hata kupiga simu za kibiashara kupitia simu zao za mkononi.

Hii ni kwa sababu usiku wa kuamkia Ijumaa serikali ilizima simu zote bandia.
Tanzania inaungana na nchi nyingine barani humo zikiwemo Cameroon, Kenya na Nigeria katika hatua ya kuziondoa kabisa simu bandia nchini.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments