Mufti Hitimana kushabaha umoja kati waislamu.

Mfuti mpya wa waislamu nchini Rwanda, Sheikh Salim Hitimana atangaza kwamba wanajipanga kuelimisha waislamu kutokomeza migomo kwani muislam sio mtu aliyezaliwa kwa kuishi katika vurugu.

Miaka miwili iliyopita, Dini la kiislamu Rwanda lilisemekana kukumbwa na mabishano kati ya viongozi wakuu wa kidini wakati waliko kujipanga hijja mpaka na kataka uchaguzi wa mufti wa waislam waliendelea kugawanyika.

Akiongea na mwahabari wa makuruki.rw Sheikh Hitimana amesema ‘’ikiwa mtu kuishi katika maisha ya kipiganaji, sisi tuanpaswa kumuokoa kwa ajili ya kumuonyesha maisha matamu, kwa hivo nadhani sote waislamu tunapaswa kuwa mmoja.’’

Aliendelea kusema ‘’labda mtu akachagua maisha ya kivita, hilo si chaguo sahihi la muislamu, tunataka kumfufua, mtu kama huo anapaswa kuwa muislamu anayejiunga na wenzake.’’

Matatizo katika dini la kiislamu alianza kujitokeza ambapo kufuatiya hasara kwa Benki ya kiislam AL Halal na kuhadhari kampuni nyingine kusafirisha waislamu jijini Maka kwa kufanya Hijja.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments