APR FC kutwaa ubingwa msimu huu ?

Wachezaji wa APR FC wakisherehekea ushindi
Msimu huu wa soka Rwanda Azam premier umefika tamati ambapo mechi moja ndiyo inabakia kwa kufuka mwishoni, mpaka sasa APR FC ina nafasi ya kutwaa ubingwa mwaka wa tatu bila kikomo ; jana APR FC imeionyesha kivumbi Marines Fc goli 1-0 ikisaidiwa na Sibomana Patrick katika nyasi za Umuganda Wilayani ya Rubavu. Baada ya kushinda mechi hiyo, timu ya kijeshi Rwanda inatarajiwa kuibuka mbingwa wa msimu huu wakati wowote watashinda mechi ifuatayo dhidi ya AS Kigali.

Mpinzani mkali wa APR FC, Rayon Sports amewabamiza Amagaju mabao sita kwa sufuri uwanjani wa Kigali Nyamirambo kwa msaada wa wachezaji Eric Irambona, Djabel Manishimwe mabao 2, Bizimana Ramatullulah wa Amagaju ambaye amejifunga bao, Kasirye davis na Savio Nshuti.

APR ikagonga kisika Rayon Sports inaweza kutwaa ubingwa wakati wao watashinda mechi minne wanayo mkononi.

Matokea ya mechi nyingine

AS Muhanga imeshuka daraja la pili baada ya kupoteza mechi dhidi ya Bugesera Fc 2-1 na Musanze Fc wametoshana nguvu na Rwamagana City 0-0.

Msimamo wa Ligi 2015/2016

Wafungaji Bora

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments