Kenya : Rwanda kurejeshwa ardhi.

Mahakama kuu ya Kenya imeamua kurejesha Rwanda ardhi ya hektari 12 karibu na bandari ya Mombasa ambayo Rwanda aliyepewa mwaka wa 1986 na Kenya wakati Arap Moi alikuwa madarakini .

Baada ya Rwanda kupewa ardhi hiyo Mfanyabiashara ambaye anaitwa Salad Awale alidai kuwa ni mmiliki wa ardhi na hata akasema kwamba yeye ana utambulisho wa ardhi kwa kutumia ardhi hiyo miaka 99 tangu mwaka wa 1986

Rwanda ilikata rufaa kortini kuu ya Kenya, Hatimaye Hakimu Anyara Emukule ametangaza kwamba mahakama imeamua kwamba Rwanda inapaswa kurejeshwa ardhi yake na pia Mtajili Awale, Yeyeana utambulisho bandia.

Rwanda kama nchi isiyo bandari, kumiliki ardhi Mombasa ni utajili utakayo kutusaidia kusafirisha bidhaa kutoka Kenya-Rwanda.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments