Matokeo ya Copa America

Mshambuliaji mkali wa Liverpool ya Uingereza Philip Coutinho amefunga hat trik.
Katika Copa Amerika, Mechi ambazo zimechezwa alfajiri hii, Marekani wamewabamiza Costa Rica bao nne kwa Sifuri, Colombia 2 na Paraguay 1.kesho Brazil atakwaana na Haiti na Equador wataminyana na Peru.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments