Wenye itikadi ya mauaji ya kimbari wajipeleka ukingoni “Gavana Munyentwari”

Gavana wa mkoa kusini Munyentwari Alphonse alitangaza haya katika mazishi ya wahanga 205 wa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi, tarehe 4 Juni 2016 wilayani Huye.

Akitoa mifano ya watu bado wenye itikadi ya mauaji ya kimbari, usiku tarehe 3 Juni 2016 watu wabomoa kaburi ya waathirika wa mauaji ya kimbari wilayani Nyamagabe.

Alisema “ Yeyote aliyekokorocha kaburi hiyo alitaka kutupa mbali miili ya wahanga lakini hawakufanikiwa, lakini vyote ni sawa akichimba mita moja au centi meta vyote hufanana, mtu huyo aliumiza wengi”.

Makamu rais wa Ibuka wilayani Huye, Norbert Mbabazi alisema “Isipokuwa kuumiza watu na kuwachoma kisu moyoni, tutaendelea na maisha tuliyochagua, tutaendelea kusimama kiume”.

Rais wa seneti ya Rwanda Mheshimiwa Bernard Makuza tarehe 4 Juni 2016 alishilikiana na wananchi wa Kigoma alisema “Wewe utakaye kuumiza hata mtu mmoja tutakupiga marufuku hadi dakika la mwisho”.

Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments