Jamie Vardy kutua Arsenal ?

Jamie Vardy
Kijana wa miaka 29 Jamie Vardy kutoka Leicister City anatarajiwa hii leo kutoa majibu iwapo atajiunga na Club ya Arsenal kabla hajaelekea kwenye michuano ya Euro za mwaka huu akiwa na timu ya taifa la Uingereza.
Arsenal tayari wamefikia makubaliano na Leicester na wamemwekea mezani Vardy kitita cha fedha kwa miaka minne.

Vardy bado alikuwa anatafakari kama awaache Mbweha kuelekea kwa washika
Bunduki. I
takumbukwa Vardy aliisaidia sana Leicister katika kutwaa taji la Ligi kuu akifunga mabao 24.

Chanzo:BBC

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments