Kanali Willy afariki

Mjeda wa jeshi la Rwanda amedanja ijumaa iliyopita, Kanali Willy Bagabe amefariki dunia kwa kuagua ugonjwa wa mafigo.

Kanali Bagabe ameaga dunia hospitalini huko India baada ya muda mrefu ambapo aliyekuwa kushughulikia maisha lakini ameshindwa na roho kama igihe.com alivyoandika.

Msemaji wa jeshi la Rwamda Luteni kanali Rene Ngendahimana ametangaza kuunga mkono na familia ya marehemu.

Ngendahimana aliambia the Newtimes ’’tunaunga mkono familia yake, hii ni muda wa huzuni . alikuwa mojawapo wa famalia yetu ya kijeshi, tunawapa pole.’’

“ kuhusu mazishi, tutawaambia baada ya kuongea na familia ya huo marehemu na baada ya kurudisha mwili wake nchini Rwanda. Tunamtakia kupumzika peponi.’’

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments