Ivan KAGAME atoa fikra nzito kwa vijana.

Ivan KAGAME
Mzaliwa wa kwanza wa Paul Kagame Ivan Kagame adhani kuwa wawekezaji wadogo kama yeye wanawaeza kupewa fursa kwa ajili ya kukuza kiwango cha maisha na uchumi wa nchi za Afrika.

Kwa niaba yake , Bara la Afrika ni bara linalohitaji mabadiliko hasa kwenye hali ya maisha na teknolojia, Vijana wanapaswa kuwa msingi wa maendeleo ya Afrika, na watu wanapaswa kuchangia hatua mbali mbali kama chachu ya hayo mabadiliko Afrika inayohitaji.

Kama kwaida, Ivana Kagame hapendi kupatikana mabazetini. Lakini haya maoni kuhusu maendeleo ya Afrika ni maandiko aliyechapisha kwenye mtandao wake wa kijamii wa Linkedin.

Alisema kwamba nchi yake ni nchi ya kujivunia, kwa mfano gazeti la The Economist punde liliandika kuwa kiwango cha maisha na uchumi nchini Rwanda ni mfano wa kuigwa, Rwanda imeonyesha kuwa ni nchi ya kuigwa ulimwenguni nzima. Kipato cha mwananchi kilichozidi maladufu tangu mwaka 2000, hii ni tofauti kali kuliko nchi nyingine katika kanda, Hata Rwanda kupitia uamuzi hii ya kujiendeleza haraka haraka, Serikali ilifanya iwezekanavyo kwa kuboresha usawa kati ya watajili na wenye kipato kidogo.

Yeye amefafanua kwamba kuwa Rwanda yalichagua kupokea kongamano la kiuchumi #WEF2016 lililofanyika huku mwezi Mei uliopita Wanyarwanda walijivunia mno haya mabadiliko zinazopatikana machoni ya wageni.

Katika hii fikra dhanifu, Ivan KAGAME anasema yaani Rwanda sasa ni nchi peponi kwa wafanyabiashara.
akitumia gazeti la The economist wale ambao waliandika kwamba Rwanda iliweka mikakati ya kijasiriamali hii ndio sababu inayosababisha kujulikana mpaka Benki ya Dunia kama nchi nzuri kwa kuwekeza kuliko mahali popote kwenye sayari.

Kagame asema kuwa katika #WEF2016 wawekezaji walijifunza zaidi fursa za kuwekeza zinazopatikana Rwanda, pia Rwanda iliweza kuwathibutisha usalama imara, usafi na maendeleo bila kikomo.

Ivana anaona Afrika ni bara inayo fursa bila idadi za kuzalisha kazi, ingawaje Sisi bado tuna wajasiriamali wadogo na watu wazima wenye busara hawana cha kufanya.

Akielezea wazi alisema ‘’kama kila mfanyabiashara aliyetinga hatua za kujivunia, Sisi tutakumbuka daima maoni yake sahihi kutokana na changamoto alizoshinda kirahisi.
Akili ya ubunifu tunayo, lakini Afrika yakosa mbinu za kutegemeza shughuli za kibiashara na mtaji hasa Ujasiriamali kwa wadogo, Lakini hatuwezo kulapa kwamba uwekezaji barani Afrika hupanda juu kwa ujumla. Huyo ni muda muhimu kwa wafanyabiashara kupewa halmshauri yanayohitajika, na kuwekeza pesa zaidi ili kuziba pengo katika hilo.’’

Hatimaye alisema kuwa wakati waafrika kwa uwingi wapo chini miaka 25, Afrika bado inahitaji wajasiriamali wadogo kuvunja hizi changamoto, Afrika hupaswa kubembeleza uwezo wa vijana wao wapo nguvu za Afrika ijao hasa teknolojia.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments