Timu ya Usumbiji yatua Rwanda bila wachezaji machachari

Jana jumatano wachezaji wa timu ya usumbiji wamewasiri mji Kigali kucheza michuano ya CAF dhidi Amavubi ya Rwanda kwa kupigania tiketi ya kufuzu kombe la Afrika CAN2017/Gabon.

Timu ya Usimbiji maarufu kwa jina Os Mambas ina mchezo wa marudiano na timu ya taifa amavubi kwa kusaka tiketi ya kucheza CAN2017 katika kundi la H.

Mchezo huu utachezwa tarehe 4 Juni 2016 huko uwanjani wa taifa Amahoro.

Akiongea na wanahabari kocha Abel Xavier wa timu hii baada ya mazoezi alisema kuwa lengo lao ni kushinda AMAVUBI nyumbani kwao na kupandisha matumaini isipokuwa wamepoteza matumani ya kukatisha tiketi ya kushiriki michezo ya mwisho ya CAN/2017 mwaka ujao.

Timu ya Usumbiji inakuja bila wachezaji 4 muhimu wakiwemo 2 wanaochezea barani ulaya kama Ronny Marcos wa timu ya Greuther Fürth (Ujerumani), Simão Mate wa Levante U.D (Uhispania).

Ronny Marcos

Simão Mate

Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments