Yolo ya MTN Rwanda, mpango wa kuwachekesha vijana.

Leo hii tarehe ya kwanza mwezi Juni ,Kampuni ya mawasiliano nchini Rwanda MTN yazinduliwa wandishi wa habari mpango unaojulikana kama YOLO unaolenga kuwachekesha vijana.

Kupitia mpango huu vijana watawezeshwa kununua vifurushi vya MTN kwa bei nafuu na kuwapunguzia bei kwenye bidhaa zao ; juu ya hii raha, MTN itaandaa mabashi mengi na mashindano bila idadi yatakayowasaidia kupata tuzo za aina tofauti.

MTN inasema kwamba baada ya miaka 19 tangu ilianza kufanya biashara Nchini Rwanda, ilipenda kufanya pamoja na wateja ngumbaru, Yeye hakukuweza kujiunga na vujana hii ndio maana ya kulenga vijana kwa hasa.

MTN Rwanda itawapunguzia bei kwenye bidhaa, kupiga simu hata na kununua vifurushi vya Intaneti kwa bei poa na kuaandaliwa wateja wao hasa vijana mashindano tofauti Yeyote atakayohudhuria atapewa tuzo.

Alain Numa ambaye anashughulikia Kampuni masokokatika aeleza kuwa huu mpango utaunganisha MTN na vijana.

Alisema ‘’kwanza tutawanunua bidhaa na huduma zetu kwa bei ya mboga, mnajua vijana hawana pesa kutosha lakini wanahitaji bidhaa za kuwasaidia kila siku hii ndio sababu kubwa ya kutuunganisha nao.’’

Wasanii maarufu kama Mrapa Riderman, Urban Boys na Chary na Nina waimbaji wa wimbo Indoro wataunga mkono MTN katika mabang’i mengi ambapo wateja wa MTN watashindania tuzo tofauti.

Urban boys

Charly na Nina

Riderman

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments