Simba wa Senegali waiga somo la kihistoria Rwanda

Wachezaji wa Senegal wakiweka shada la maua kwenye makaburi ya wahanga wa mauaji ya kimbari dhdid ya Watutsi/Gisozi
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Senegali wapo Rwanda tangu ijumaa lililopita ambapo walicheza dhidi ya ‘’AMAVUBI’’ ya Rwanda mechi iliomalizika mabao 2-0 uwanjani Amahoro ilkuwa kwa lengo la kuandaa mechi yao dhidi ya INTAMBA M’URUGAMBA wa Burundi kwa kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya CAF/2017 huko Gabon.

Kabla ya kuelekea Burundi, Jana, Wao walizuru kituo cha kukumbuka mauaji ya kimbari ya aprili,1994 dhidi ya Watutsi, miaka 22 ya nyuma huko Gisozi.

Kocha wa ‘’Les lions de la teranga’’ Aliou Cisse alisema kwamba hali katika mauji ilikuwa hatari hasa kwa watoto, Nilisikiliza Habari tofauti lakini sikukuweza kufafanuliwa papo kwa papo.

Alisema ‘’tulihisi hasira kuwa watoto wa afrika waliona hali kama hii, vitu nimeona vinatofautiana na vile tulisikia katika vyombo vya habari yaani tuliweza kuchora somo kutokana na hii historia.’’

Pia aliongeza kuwa Waafrika tuko mtu mmoja tunapaswa kuiga kuiga somo kutokana na Mauji ya kimbari dhididya Watutsi, sote tukaapa ‘’Never Again’’.


Aliou Cisse akielezewa historia ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments