‘’WAPARMEHUTU bado wawepo… Wao hujifanya kigeugeu halafu mkawapa madaraka.’’Mkuu wa IBUKA.

Professa Jean Pierre Dusingizemungu, mkuu wa IBUKA
Raisi wa shirika linalotetea faida za walionusurika mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi mwaka 1994 ‘’IBUKA’’ Professa Dusingizemungu Jean Pierre asema kuwa bado wawepo viongozi bado wana itikadi ya mauaji ya halaiki kama ile iliopo katika chama cha PARMEHUTU cha Gregoire Kayibanda ambaye aliyekuwa Rais wa Rwanda katika miaka ya 1960, ingawaje wao wajifanya weupe ili wapigwe kura.

Alisema jambo hilo wakati aliyekuwa kutolea hotuba yake katika maadhimisho ya kukumbuka wahanga (wanawake na watoto waliouawa kinyama) wa mauji ya kimbari dhidi ya Watutsi huko Kibirizi, Wilaya ya Nyanza, kusini mwa Rwanda, maeneo anayejulikana kama IBAMBIRO tarehe 21, Mei, mwaka wa 2016.

Alisema kwamba licha ya itikadi kumalizika, imebadili rangi, hivi sasa wenye itikadi wanatumia busara kupitia njia ya sheria ili kuwadhibu wahusika huku wao haiwezekani kusimamishwa.

Alisema ‘’hapo Marangara ni nyumbani kwa PARMEHUTU, na sasa PARMEHETU huwepo , hao WAPARMEHUTU, Wao hjifanya kinyonga kwa ajili ya kutokamatwa na sheria, wakajifanya wenyewe watoto weupe , kisha nyuma mkawapa madaraka katika uongozi mbali mbali wa chini, wanafanya nini sasa ? Isipo kuwa kuchagua kijiji cha walionusurika badala ya kuwapa umeme au mabarabara , wao wanawaletea mapipa ya pombe ili hawatokuwa viongozi.’’

Prof. Dusingizimana pia aliongeza kwamba wawepo viongozi wa chini ambao wanakana kuwa wana idadi ya walionusurika wenye umaskini wakati shirika la kuwatetea linajua kwamba wawepo.

Jean Pierre asema kwamba hungepaswa kufanywa utafiti mpya kwa kina hasa kuhusu itikadi ya mauaji ya halaiki kwa kuweka sheria halisi ya kuwaadhibu watu wenye itikadi.

Wiki ya kukumbuka wahanga wa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi, zaidi ya watu 44 waliakamatwa kuhusiana na kosa hilo la kijinai (Itikadi ya mauaji ya kimbari).

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments