Rubavu : Benki kuibiwa zaidi ya mamilioni 50

Habari kutoka Wilaya ya Rubavu, Jimbo la Magharibi anasema kuwa Benki Agaseke tawi la Rubavu katika tarafa la Gisenyi, kjiji cha Ndego imeshambuliwa na watu bado hakujilikana ambao walioiba zaidi ya mamilioni 50 pesa za Kinyarwanda.

Huko Habari zinasemazo kwamba benki hiyo imeshambuliwa wakati walinzi walipopiga usingizi. Wizi wamevamia dirisha la nyuma ya jengo hilo la Benki halafu wakaingia ndani kisha wakabeba pesa zilizomo katika kabati.

Katibu mtendaji wa tarafa hilo Mugisha Honore amethibitisha habari hayo, Yeye ameambia Makuruki.rw kuwa haiwezi kutoa habari zaidi kuhusu shambulio hilo, kwa sababu tayari imechukua kwa polisi, ameongeza kuwa upelelezi bado hakumalizika.
Tumeshindwa kuongea na Polisi.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments