Rayon Sports,[Davis Kasirye, Isamaila Diarra],yakata tamaa

Bodo ndiye mfungaji wa goli moja kwa upande wa Etincelles ya Wilaya ya Rubavu, kaskazini mwa Rwanda
Jana jioni Rayon sports yakabiliana na Etincelles Fc (Timu ya mkoani magharibi mwa Rwanda, maeneo ya Rubavu) katika nyasi za uwanja wa Kigali, Ni mechi iliyemalizika kwa usawa.

Mashabiki wa timu hii inayojulikana kuwa ya wananchi walitumaini kugombeana ubingwa na timu ya wnajeshi , Lakini wameshindwa, Rayon ilianza mechi na nguvu zaidi ambapo iliwaweka uwanjani Isamaila Diarra, Davis Kasirye, Nshuti Dominique Savio, wale walioyicharaza APR FC katika mechi ya kihistoria ambapo walishinda vita na magoli 4-0 bali wamecheza pembe la ng’ombe tu.

Baada ya kuing’atwa APR FC 4-0, Mashabiki wa Rayon Sports walianza kufikiri kwamba waweza kuibuka mabingwa wa msimu huu, Lakini Etincelles imewazuia kutimiza ndoto zao kwa kuendeleza pilikapilika za 2015-2016 Azam premier legue.

Katika dakika ya 41, Nshuti Dominique Savio na wengine, Winga mtalaam wa Rayon Savio amefungua mlango wa Etincelles wakati Bodo wa Etinceles amewafunga bao la sera katika dakika ya 70.

Baada ya kusawazisha mechi hii, Rayon yakata tamaa matumaini yao kwani APR FC inaendelea kuja mbele kwenye meza ya ligi na alama mengi ambapo inaonekana kuwa vigumu kuipindua kwenya nafasi ya ufalme,
ingawaji Rayon yakata rufaa kwa mlinda goli wa Etincelles Fc Bartez Danny, anadaiwa kuwa ana kadi mbili za njano ambazo zingepaswa kumzuia kucheza mechi hii.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments