Gesi ya methani yaweza kuendesha gari siku zijazo.

Watafiti na hodari wa Rwanda na DRC waanza kupeana habari jinsi gesi ya methani yaweza kutoa nguvu za kuendesha gari baada ya nishati.

Katika mkutano wa siku tatu ulioanza tarehe 23 Mei 2016, kwa lengo la kukusanya habari ziwezekanazo kutoka ziwa la Kivu ambazo zitawasaidia katika utafiti utakaofanywa kama mkuu wa REG Mugiraneza Jean Bosco anavyosema.

Alisema “ Tumeanzisha uchimbaji wa gesi ya methane kwa kuizalisha nishati lakini inaweza kutumiwa kwa kuendesha motokaa, kufanya rutuba na vingine tofauti".

"Tunahitaji nguvu za watafiti kwa kuunga mikono ili wa wapeane habari za kuzalisha mavuno ziwa la Kivu bila athari kwa ziwa la Kivu". Aliongeza.

Gavana wa Kivu Kusini Chishambo Marcelin alisema “ Ni muhimu kushirikiana na kupeana habari kwani husaidia viongozi kuambia wananchi cha kufanya kwa muda mwafaka na siku zilizopita ziwa la Kivu lilibadilisha rangi".

"Tunakaa maeneo ya volkano na tetemeko, habari kutoka utafitini ni muhimu.isipokuwa matatizo hayo, ni vizuri kujua faida zinazoweza kuzalishwa ziwa hili amablo wengi hudhadi laweza kusababisha madhara". aliongeza.

Mkutano huu umeandaliwa na shirika la kiuchumi la maziwa makuu (CEPGL) ka ushirikiano na REG, Rwanda imenufaika kupata megawati 26 wakati ina lengo la kupata megawati 350.

DRC inakubaliwa kupata megawati 350 kama walivyoahidiana lakini haijanza kuchimba.

Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments