Nyamirambo : Dereva wa Nyiramasuhuko Pauline aliaua Watutsi akivaa jezi ya MukuraVS !

Hussein Minani alikuwa kizimbani Jumatatu 23 mwezi huu hapo Nyamirambo. Anaashitakiwa hatia ya mauaji ya kimbari kama ushahidi wa watu walipomuona unavyosema ambao walimuaona akiwaua watu.

Hussein anashitakiwa kumuua hayati kocha wa Mukura Victory Sport akivaa nguo zake na kuwaua wengine lakini hakukubali mashitakiwa hayo.

Bwana huyo Huseein Minani alienda kuishi nchini Tanzania baada ya majuaji hayo. Alipofika huko alitafuta uraia wa Tanzania na kubadilisha majina yake kama Hussein Mujanda Abdi Kitumba ili asitambulike. Bwana huyo alikuwa dereva wa Bi. Paulina Nyiramasuhuko aliyekuwa waziri wa familia pia naye anashitakiwa mauaji ya kimbari.

Baada ya kufanya uchunguzi, majaji wamemwambia kuwa yeye, Hussein Minani, anashitakiwa mauaji ya watutsi. Walisema kuwa mauaji haya aliyafanyia jijini Butare mpakani uliojulikana kama” kwa Nyiramasuhuko Kinii cha Mamba, Sekta Butare Wilayani Ngoma mpaka huo unajulikana kwa jina maarufu la Bwanakeye kule Tumba.

Katika shuhudi zote zilizosomwa kortini, zimesisitiza kuwa huyu, Hussein Minani, aliwaua watu wengi. Risala hizi zimeandikwa na watu kutoka jela wathibitisha kuwa huyu Hussein Minani alishirikiana nao katika mauaji hapo mpakani na sehemu nyingine za mji wa Butare.

Callixte Musoni anasema kuwa motokaa iliyobeba watutsi iliagizwa na Minani Hussein hapo ndipo watutsi hao waliuliwa maeneo ya Rwasave.

Leoncie Kayitare aliyekuwa jirani yake Hussein Minani pia mnusurika wa mauaji ya kimbari alisema kuwa aliwachukia sana.

Wamesema kwamba Hussein Minani alishiriki katika mauaji ya watu waliokuwa kanisani ya Ngoma tarehe 30 April 1994 kisha akamuuwa kocha wa timu ya Mukura.

Hussein Minani hakukubari mashitaka haya yote. Kuhusu uguraji wake ugenini na kubadilisha majina, amesema kwamba yeye hakuwa na hatia yoyote yaani alitaka kubadilisha maisha tu na kupata urai wa Tanzania.

Amesema kwamba akiwa na hatia yoyote hakuwaza kurudi nchini Rwanda. Amesema kwamba tangu 1995 alifanyia kazi yake yakuleta magari ya kuuza nchini Rwanda kutoka Tanzania.

Baada ya Korti ikiishafuata pande zote, wajaji wamehitimishakuwa hii leoa ya jumanne watachukua uamuzi wa kumfunga au kumpa uhuru kwa muda kabla ya kuanzishahukumu kwa kina

David Nzabonimpa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments