Paul Kagame nchini Zambia

Rais Paul Kagame na kiongozi wa BAD Akinwumi Adesina
Hii Jumatatu, Rais Paul Kagame amehudhuria mkutano kwa mtambo ya siku tatu uliyepangwa na Benki ya maendeleo barani Afrika(BAD) kuhusu maendeleo ya bara. Kule lusaka,jiji la Zambia, atakuwa pamoja na wenzake wa Chad na Kenya.

Mkutano huu utatimiza siku tatu zote. Inamaanisha kuwa mkutano umeanza Jumatatu tarehe 23 hadi 27 mwezi huu.

Gazeti la Zambia Reports limefahamisha kuwa benki hii ni kawaida yake kuendesha mpango wa nguvu na kugombana na mabadiliko ya angani. Hii pia ni mpango wa Umoja wa Mataifa.

Mkutano huu unafanyika mwaka nenda mwaka rudi ambapo unakusanya watu elfu tano ikiwemo wenyemali, mawaziri wa biashara na kadhaa kutoka nchini 54 za Afrika.

Kama Wanyarwanda walifanyiwa hila kutoka Zambia, watu wanategemea mazungumzo ya kidlopamasia kati ya Kagame mwenzake wa Zambia ingawaji Lakini tangazo la kuthibitisha mazungumzo hayo.

Katika maandamano yaliyofanywa na raia wa Zambia mwezini Aplili mwaka huu, maduka ya Wanyarwanda Zaidi ya 60 yaliwezuliwa. Kisa hiki kilitokea kwa kuwa Wanyarwanda walishitakiwa uchawi nchini humo.

Baada ya kisa hiki Rais Edgar Lungu wa Zambia aliwaomba msamaha wageni wote waliohalibiwa mali zao. Alisema kwamba ni aibu kwa nchi yote ya Zambia kuwasakizia wageni.

David Nzabonimpa

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments