Ruhango : Mwanafunzi auawa halafu akachomwa moto

Msemaji wa Jeshi la Polisi katika jimbo la Kusuni amethibitisha kuwa jana saa kumi na mbili na nusu za jioni, wao walipazwa sauti na raia kuwa waliona mwili wa mtu msituni aliyeuawa halafu akachomwa moto.

Tovuti ya umuseke.rw yaandika kwamba marehemu ni mwanafunzi wa shule la sekondari G.S Indengabadanizi anayeitwa Byusa Yassin wa Wilaya ya Ruhango, Tarafa la Ruhango, kijijini Munini.

CIP Andre Hakizimana aliyaambia umuseke.rw kuwa marehemu anasemwa kuwa mwenye umri wa maiak 25. Hivi sasa wauaji bado hakujulikana ingawaji Msemaji asema kuwa uchunguzi unaendelea kufanywa ili wauaji wawekwe chini ya ulinzi.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments