Diamond atajwa kuwania tuzo za BET 2016, Pamoja na.............

Staa huyo atachuana na nguli wengine wa Afrika wakiwemo Wizkid, Yemi Alade wa Nigeria, AKA, Cassper Nyovest na Black Koffie wa Afrika Kusini na wengine wawili.

Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act : Africa.

Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi June nchini Marekani. Diamond pia atatumbuiza June 26 kwenye tuzo hizo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments