Anatuhumiwa unyang’anyi wa faranga za VUP.

Huyu ndiye ambaye anatuhumiwa unyang’anyi wa pesa za VUP
Mfanyakazi anayejukumu masaula ya kijamii katika tarafa la Masoro, Wilaya ya Rulindo, Jimbo la kasikazini amewekwa chini ya ulinzi kwa kutuhumiwa kuiba pesa za Mukamutara Perpetue wa miaka 85 ambaye aliyenusurika mauaji ya kimbari pesa thamani 433,000 Rwf.

Meya wa Rulindo, Bw. Emmanuel Kayiranga amethibitisha habari hayo, Yeye alisema kuwa kiongozi huo amekamatwa kwa kutuhumiwa pesa aliondolewa na kiongozi kwenye akaunti ya Mukamutara Perpetue . Perpetue alimfanya msimazi hata ikiwa hawana uhusiano wa kifamilia kisha ameanza kujiondoa faranga kwa siri.

Juu ya madai hayo, Kayiranga ameongeza kuwa kiongozi huo anashtakiwa pesa na ng’ombe watatu za mradi wa Girinka, ambayo husaidia wanaraia wanao umaskini, akawapa watu hawastahili.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments