Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari kurudishwa Rwanda

Henry Jean Claude Seyoboka ambaye huishi Kanada/Gatineau atapelekwa kusafishwa nchini Rwanda. Seyoboka anatuhumiwa kuchangia katika mauaji yakimbari dhidi ya Watutsi ya mwaka wa 1994.

Redio ici-Canada inasema kuwa Jean Claude Seyoboka alikutana na wachungaji wa mipaka hapo mjini Montreal ili aambiwe kurudishwa nchini Rwanda.
Kanada imechukuwa uamuzi wa kumrudisha baada ya madai ya kutoamini mahakama ya Rwanda na kusema kuwa anaweza kuuwawa lakini mahakama ilitupulia mbali madai hayo kwani hana vizibiti.

Alipewa utaifa wa Kanada lakini mwenye hadhi ya ukimbizi kutoka 1996 anashitakiwa mauaji ya mkewe na watoto wake 2 kama ilivyotangazwa.

Rwanda imeomba kupelekwa nchini kwa Seyoboka lakini vilicheleweshwa na wananchi kutoka Gatineau ambao walitupulia mbali maombi hayo.

Tarehe 6 Mei 2016 ndipo mahakama aliamua kupelekwa kwake nchini kwani yote anayesema hayana ukweli, nchi ya Rwanda inafuata kanuni za kimataifa.

Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments