Kagame haelewi kwa nini Wanyarwanda bado kunywa mabaki ya kahawa.

Kagame alisema hivyo katika mkutano na wenye mamlaka wa Wilaya ya Karongi katika Jimbo la Magharibi mwa Rwanda jana jumatatu ; Yeye alisema kwamba hakuelewi kwa nini Wanyarwanda ikiwemo viongozi bado kunywa mabaki ya kahawa inayosafirisha kutoka nje katika mikebe.

Kwa mfano Kagame alisema kwamba kahawa ya Rwanda inajulikana katika Rwanda na duniani kote lakini akashangazwa na Wanyarwanda hawakuithamini kisha wakaeandelea kunywa kahawa inayetoka nje wakati ya ndani ni tamu kuliko zaidi ya ile ile.

Akasema ‘’Rwanda ana mambo mengi ya kufanya badala ya kuingiza bidhaa kutoka nje. Pesa anaotumika katika shughuli hizo anapaswa kutumika kwa kukuza bidhaa ambao zalishwa na viwanda vya ndani. Lakini tunapaswa kubili uelewa.’’

‘’kwa kawaida, Sisi tuna kahawa maarufu , wakati wowote wakachapisha alama kutokana na asili ya kahawa, Rwanda inachukua nafasi ya kwanza… hizi mawaziri na viongozi wote katika ofisi zao watoshelezwa na kahawa ambayo hawakujua asili yake, wanafurahishwa na rangi ya mkebe tu .’’ Aliongeza

Kagame aliwahimiza kuwa wanapaswa kutumia kahawa inayopatikana nchini Rwanda kwa sababu ni tamu kuliko zaidi ya ile inayotoka nje katika mkebe kupitia lengo la kukuza bidhaa za ndani ya nchi kwanza aliwaomba kubadili uelewa wao.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments