Romeo Dallaire ambaye aliyeongoza vikosi vya UN katika 1994 azuru Rwanda.

Luteni Jenerali Romeo Dallaire alijadili na James Kabarebe kuhusu tatizo la kutumia watoto katika Vita
Luteni Jenerali ( mstaafu) Romeo Dallaire(Mbelgiji) ambaye alikuwa kiongozi wa vikosi vya walinda amani wa umoja wa mataifa nchini Rwanda(MINUAR) katika miaka ya 1994 , atembelea Rwanda ambapo alipokewa na waziri wa ulinzi Jenerali James Kabarebe katika Wizara ya Ulinzi.

Dallaire ndiye mwanzilishi wa shirika ambalo lenga kupambana na watumiaji wa watoto katika vita (Dallaire Initiative Foundation). Katika ziara hii ana lengo la kusaini makubaliano ya ushirikiano na jeshi la Rwanda kwa shughuli hizo ili kuhamasisha kimataifa asiyekutumia watoto katika ghasia.

Dallaire alisema’’ sababu kuu imenifanya kushirikiana na RDF kama mshirika ni kwamba Rwanda ana kijeshi kitalaam, hasa kulinda amani katika kila kona za ulimwengu.’’

Jenerali Kabarebe akisema kwamba kuzuia matumizi ya watoto katika vita, ikiwemo katika kanuni za jeshi la Rwanda na ile ya kuzuia matumizi ya waraia katika vita.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments