Baada ya safari nyingi kati Tanzania-Rwanda bila kutambulika, Mshukiwa wa mauaji ya kimbari amekamatwa jijini Kigali

Minani Hussein mbele ya Wanahabari leo
Leo hii tarehe ya 09,mwezi Mei 2016 , polisi wa Rwanda wameonyesha wanahabari mtu anayeshukiwa kuua watutsi katika mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi aliyetukia nchini Rwanda mwaka 1994.

Minani Hussein alikamatwa siku nne ya nyuma jijini Kigali katika maeneo ya Giporoso baada ya kufanya safari nyingi za kibiashara nchini Rwanda kutoka Tanzania ambapo aliokuwa dereva wa kampuni Akagera anayebeba magari kutoka Tz kwa Rwanda miaka mitano.

Polisi wa Rwanda anasema huyu Minani Hussein baada ya kutolokea nchini jirani wa Rwanda alibadili utambulisho wapi aliyejulikana kwa jina la Hussein Abdoul Kitumba.

Hussein anashtakiwa kuchangia katika mauji ya Watutsi waliyoishi katika maeneo ya zamani ya Ngoma, Butare ingawa yeye anakana mashtaka hayo.

Hussein katika mwaka wa 1994 alikuwa dereva wa Nyiramasuhuko Paulina ambaye aliyekatwa hatia ya Mauaji kimbari dhidi ya Watutsi mahakani ya ICTR mjini Arusha nchini Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Msemaji wa Polisi ACP Celestin Twahirwa asema kwamba Hussein amekamatwa jijini Kigali baada serikali ya Rwanda iliyotayari kutoa nyaraka za kumkamata kwa ushirikiano na polisi wa kimataifa Interpol.

Hussein asema alikuwa kuishi nchini Tanzania tangu mwaka wa 1994.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments