Mji wa Kigali- Kobe wa Japan, wafungua ukurasa mpya wa Ushirikiano

Meya wa Kigali Bi. Mukaruliza Monique na Kizo Hisamoto jana
Jiji la Kigali na Mji wa sita juu ya orodha ya miji kubwa hapo Japan wamesaini makubaliano ya ushirikiano mwezi Mei,9 mwaka wa 2016 katika uwekezaji, utalii na teknolojia. Ni mafikiano aliotewa sauini na Meya Mukaruliza Monique kwa niaba ya Kigali na Hisamoto Kizo kwa ajili ya Kobe.

Meya wa Kigali Bi. Mukaruliza alibaini kuwa makubaliano hayo atasaidia miji miwili kuimarisha ushirikiano katika shughuli za elimu, hasa biashara. Kupitia shule la teknolojia la Kobe (Kobe Institute of Computing) ambapo Wanyarwanda zaidi ya elfu moja wanaotarajiwa kupata kazi.

Alisema ‘’Mnajua kuwa nchi yetu ina lengo la kuzalisha kazi angalau 2000 kila mwaka nje ya kazi za kilimo, kupitia chuo cha KIC wanyarwanda wapewa masomo ndipo wapate kazi katika makapuni ya wajapan wanaofanya shighuli nchini.’’

Kiongozi wa Kobe Bw. Kizo Hisamoto akasema kwamba walichagua kufanya pamoja na mji wa Kigali kwa sababu Rwanda yana makubakiano na Japan katika Shughuli za kiteknolojia na chuo cha Kobe.

Alisema ‘’Kama kawaida Rwanda ilikubaliana na Japan katika teknolojia, tungependa kupanua makubaliano hayo, hii ndiye sababu kubwa iliyotufanya kuchagua Kigali.’’

Kobe Institute of Computing ni chuo kinachoelimisha wanafunzi 49 kutoka barani la Afrika, 12 ni Wanyarwanda.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments