Rais Paul Kagame akaribisha mabalozi watano wapya katika ikulu

Balozi Olga Hawa Ndilowe wa Malawi, ndiye mke pekee aliyekaribishwa na Rais Paul Kagame miongoni mwa Mabalozi watano.
Jana Rais Paul Kagame katika ikulu amepokea mabarua ya stakabadhi ya mabalozi watanu wapya waliokubaliwa kuwakilisha nchi zao katika Rwanda akiwepo Balozi Taoufik Hnana wa Tunisia, nani ana kikao mjini Kinshasa/DRC, Hawa Olga Ndilowe, Balozi wa Malawi ambaye ana kikao kikuu jijini Dar es Salaam, Ralf Heckner wa Switzerland, yeye ana kikao kikuu mjini Nairobi/ Kenya, Felix Costales Artieda anayewakilisha nchi ya Hispanai na yeye ana makazi mjini Nairobi wa mwisho ni Michel Obiang wa Malawi kikao jijini Kinshasa.

Urafiki wa Rwanda na Hispania uliharibika kabisa baada ya Jaji wa nchi hiyo Fernando Andreu aliyetolewa nyaraka za kuwakamata maafisa 40 wa jeshi la Rwanda akiwepo Karenzi Karake, nani aliyekuwa mkuu wa ujasusi wa Rwanda, akawaagiza shutuma za mauaji ya kimbari, uhalifu ya kibinadamu na uhalifu wa kivita na ugaidi.

Balozi Artieda wa Hispania alibaini kwamba anaenda kuhuisha urafiki kati ya nchi mbili. Alisema saula hilo la kidiplomasia lilifutiliwa mbali, tayari kufungwa.

Alisema ‘’Suala hili tayari kufungwa,baada ya serikali yetu ilianzisha mabadiliko katika sheria yetu na ambayo kukatizwa kanuni ya mamlaka zima kwamba jaji wa Hispania alitumia.’’

Balozi wa Switzerland Bw. Heckner alisema kuwa kufuraha sana kuwa balozi nchini ambapo Mkutano wa Jukwaaa la Uchumi Duniani (WEF) linalotarajiwa kufanyika.

Mabalozi wote wameapa kuimarisha ushirikiano ili kusisitiza mahusiano ya uchumi na kisiasa.

Kagame, Louise Mushikiwabo na Michel Xavien Obieng wa Malawi

Balozi Ralf Heckner wa Switzerland

Balozi Taoufik Hnana

Balozi Felix Artieda wa Hispania

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments