Soka/ Divisheni ya Pili : AKAGERA FC yafuta jina la KIREHE FC kichwani

Jana mechi mablimbali katika divisheni ya pili nchini Rwanda kuendelea mwishoni mwa wiki iliyopita, Nyumbani Kirehe Fc, timu ya Wilaya ya kirehe mashariki mwa Rwanda yachoma kabisa timu ya Akagera Fc. Kirehe Fc ilishinda mabao 3-0

Matokeo Mbalimbali

Jumamosi, Mei 7
Kundi A

Gasabo United 0-3 Vision JN
Esperance vs Vision FC (kuahirishwa )
Sorwathe FC 2-1 Hope FC
UR FC 1-2 La Jeunesse FC

Jumapili, Mei 8
Gitikinyoni FC 1-0 United Stars

Jumamosi, Mei 7
Kundi B

Interforce FC 0-1 Miroplast FC
Aspor FC 1-2 Etoile de lā€™ Est FC
Rugende TC Fc 0-2 SEC
Nyagatare FC 0-1 Pepiniere FC

Jumapili, Mei 8
Isonga FC 1-0 Heroes FC
Kirehe FC 3-0 Akagera FC

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments