Rais Paul Kagame ahudhuria sherehe ya kuapa ya Rais wa Djibouti

Jana Rais Paul Kagame wa Rwanda amehudhuria sherehe ya kuapa kwa ajili ya muhula mwingine madarakani wa Rais Ismail Omara Guelleha Nchini Djibouti.

Kagame alikuwepo pamoja na wakuu wa serikali ikiwa ni pamoja na Waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn na Rais wa Sudan Omar Al Bashir.

Rais Paul Kagame alipotembelea nchi hilo baada ya Guelleh kutembelea Rwanda mwezi Machi, 2016 ambapo Kagame alimzawadi ardhi thamani hekta 10 katika Wilaya ya Gasabo, mjini Kigali.

Kagame alikaribishwa na mwenzake Guelleh

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments