Historia Rayon Sports kuichapa APR FC 4-0, mbio bado hakumalizika

Kiasirye Davis alishinda hat trick katika mechi iliopita
Baada ya Rayon sports kuichapa kirahisi APR FC 4-0 uwanja wa Taifa Amahoro, wikendi hii APR FC na Rayon Sports watachuka uwanjani tena ili kusaka ubingwa wa msimu huu.

Mbio kwa ubingwa inaonekana kuwa kali baada Rayon kuweka shinikizo mgongoni wa timu ya Kijeshi. Hivi sasa APR FC inaongoza meza ya ligi na pointi moja ya tofauti mbele ya Rayon Sports.

Wikendi hii Rayon Sports itacheza dhidi ya Rwamagana city na APR FC itatembelea Sunrise Fc mkoani mashariki mwa Rwanda.

Mechi nyingine

Ijumaa Mei 6
Musanze Fc vs Bugesera FC (Nyakinama)
Marines Fc vs Amagaju Fc (uwanja wa Umuganda)

Jumamosi, Mei 7
Rayon Sports vs Rwamagana City FC (Stade de Kigali)
Sunrise FC vs APR FC (Rwamagana)
Gicumbi Fc vs Police FC (Gicumbi)
Etincelles Fc vs SC Kiyovu (Umuganda)
AS Muhanga vs Mukura VS (Stade Muhanga)

Jumapili, Mei 8
AS Kigali vs Espoir FC (uwanja wa Kigali)

Wachezaji waliosimamishwa
1. Ndikumasabo Ibrahim (AS Muhanga)
2. Nkurikiye Jackson (AS Muhanga)
3. Girukwishaka Jean Marie (Bugesera Fc)
4. Nduwimana Michel Barak (Bugesera Fc)
5. Nzarora Marcel (Police Fc)
6. Batte Shamiru (AS Kigali)
7. Rucogoza Aimable (Gicumbi Fc)
MSIMAMO WA LIGI

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments