Rwanda hawayumbi kwenye orodha ya FIFA, Tanzania yavuta mkia

Rwanda yamebakia tuli katika nafasi 87 kwenye orodha hivi punde ya FIFA, iliyotolewa katika zurich, Uswisi.

AMAVUBI pia yahifadhi nafasi 21 barani la Afrika na ya pili katika kanda la CECAFA nyuma Uganda cranes (72), watatu ni Kenya (116) ikifuatiwa na Burundi (122), Ethiopia (123) wakati Tanzania ya Mbwan Ally Samantha yabakia 129 na sita katika kanda la CECAFA.

Rwanda watajaribu kuboresha cheo mwezi huu wakati watacheza dhidi ya Senegal mwezi Mei 28, mwaka huu katika mechi ya kirafiki kabla ya kupokea Msumbiji nyumbani.

Kumekuwa hakuna mabadiliko mwezi huu kama nchi 53 kubwa katika kandanda ya Ulimwengu hakubadilisha nafasi, Argentina, Ubelgiji, Chile, Colombia na Ujerumani wamebakia juu.

Barani mwa Afrika Algeria (33) yaongoza orodha, Cote d’ivoire (34), Ghana (38), Senegal (43), Misri (44).

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments