Musanze : Polisi ameua mwenzake kwenye kituo cha polisi Busogo alafu akajiua mwenyewe

Leo hii asubuhi kwenye kituo cha Polisi Busogo, katika tarafa la Busogo, wilayani Musanze, kasikazini mwa Rwanda. Polisi ameua komanda wa kituo cha polisi mwenye cheo cha CIP tarafani humo alafu akajiua mwenyewe.

Habari hii yamethibitishwa na meya wa Musanze Bw. Musabyimana J. Claude alisema kuwa uchunguzi umeanza ili kujua sababu ya kifo hicho.

Alisema ‘’tumejua habari hayo, ni ukweli… bado hawajui wazi ilovyotokea, pia nimefika huko. Uchunguzi unaendelea ili kujua sababu ya kweli iliomfanya kupiga risasi mwenzake.’’

Msemaji wa Polisi mkoani kasikazini, IP Gasira Innocent aliambia Izuba Rirashe kwamba CIP Jean Bosco Mugabo, ambaye amekuwa kuongoza kituo hicho aliuawa ingawa hakukutoa maelezo zaidi

Meya alielezea kwamba baada ya kifo hicho, uongozi pamoja na polisi walikusanya wakazi wa eneo hilo ili kuwapa pole na kuwaelezea kitu ambacho kimetokea aliongeza kuwa hivi sasa hali kuwa kama kawaida.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments