LEO : APR FC vs RAYON SPORTS, Silaha mbili kukosekana uwanjani

Djihad Bizimana
Leo hii saa kumi na mbili za jioni, Uwanja wa Amahoro atachomwa mwoto na mashabiki kwa upande wote kati ya APR fc Vs RAYON Sports. Ni mechi kati timu ya kijeshi na timu ya wananchi katika ligi kuu ya RWANDA AZAM PREMIER LEAGUE.

Ingawa maandalizi huenda kwa mwisho kabla ya kukabiliana uwanjani wachezaji wawili mmoja wa Rayon Sports Niyonzima Olivier na Bizimana Djihad wa APR FC hawatacheza mechi hii kwa sababu ya kadi mbili ya njano.

Mechi ya kwanza APR FC kuifunga Rayon mabao 4-0, lakini hivi sasa Rayon imeisha mechi nyingi bila kupoteza , wakati APR FC inaongoza meza ya ligi baada ya kuipindua Mukura Vs kwenye nafasi ya kwanza.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments