APR Fc vs Rayon Sports, nani atakomboa kombe ? ’’AZAM Fc yaelekeza darubini uwanjani’’ MIGI amefichua siri

Jumanne, Nchini kote inategemea mechi ya kihistoria inaolinganishwa kama vita. Mashabiki wanasema kwamba kesho itakuwa vita vya kukomboa kombe kati ya timu hizo mbili zinazopigania kukaa kwenye nafasi ya kwanza ya ligii kuu.

Baada ya kuichapa kirahisi Police Fc 3-1 uwanjani wa Kigali, Masudi Djuma, kocha wa Rayon Sports aliambia wanahabari kwamba hana muda wa kusherehekea ushindi, alisema kuwa kuelekeza silaha zake kwa mechi ya jumanne hii kati ya mpinzani wa kihistoria APR FC.

Alisema ‘’ tunataka kushinda ili kubakia karibu nae, nina furahia wachezaji wangu.’’

‘’Hii na ushindi muhimu ingawa tunataka kuendelea kushinda. Tunahitaji kupambana mpaka mwisho. Tuna muda mfupi kupona kwa ajili ya mechi dhidi ya APR FC , ni lazima kuandaa, hii si mechi ya kwaida.’’ Aliongeza.

Mabingwa mtetezi APR FC alifunga Rwamagana City mabao 2-1 kabla ya kucheza dhidi ya Rayon kesho.

Ikiwezekana Rayon Sports kushinda itapata hoja ya kuipindua APR FC kwenye nafasi ya kwanza. Hivi sasa Rayon Sports imekaa nafasi ya pili na pointi 42 katika mechi 19, APR FC kwenye nafasi ya kwanza na pointi 46 katika mechi 20.

Kiungo wa AZAM fc Mugiraneza Jean Baptiste aka MIGI, akizungumza na Redio 10 ya Rwanda alifunguka kuwa AZAM FC ya Tanzania itatuma mtalaam kufuata mechi kati ya timu ya kijeshi APR na timu ya wananchi Rayon Sports ili kuchambua mchezaji mmoja bado kujulikana hadi sasa.

Alisema ‘’ hapa katika AZAM FC, viongozi wanataka mchezaji mmoja anayechezea APR, timu yetu ilituma msaidizi wa mkufunzi kufuata mechi ya jumanne. Ili kumweka hapa msimu ujao’’

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments