Yeyote atatoka nje kwa lengo la kuvunja usalama wa nchi, atapewa dawa inayomfaa- Rais Kagame

Rais Kagame ahaidi wanyarwanda kuwa kuna dawa inayofaa kwa yule atakayevunja usalama wanchi.

Katika ziara yake ya kikazi mkoani mashariki alipoianzia wilayani Ngoma, Rais Kagame alisema kuwa kuna dawa itakayopewa kila yeyote atakayevunja usalama wa wanyarwanda.

Isipokuwa Kagame hutangaza kuwa kuna dawa kwa wale watakaovunja usalama wa wanyarwanda anasema kuwa ikiwezekana itakuwa kosa la wanyarwanda.

Alisema “Mtu yeyote kutoka nje kwa lengo la kuvunja usalama wetu,na kupata njia ya kupitiamo, kwa upande wetu ni kosa letu, tunapaswa kujikosoa. Lakini huyo tunampa dawa imfaae”.

Rais Kagame alionyesha jinsi nchi imepoteza watu wengi na ni tatizo gumu kupoteza hata mtu mmoja.

Alisema “Tumepoteza milioni ya watu na havitakuwepo katu, wakati unapopoza milioni ya watu pia ukapoteza hata mtu mmoja ni viguma kueleweka”.

Rais Kagame aligusia kidogo kwenye ripoti zilizofanywa kuhusu usalama, alisema kuwa nchi hukaa vizuri katika usalama wa Afrika hata duniani kwa ujumla, aliomba wanyarwanda kushirikiana kwani usalama ni lengo lao.

Alisema “Ningependa kuwapatia habari lakini sijui mnayajua, kuna siku chake wakati walipoonyesha ripoti kuhusu usalama, Rwanda imechukua nafasi ya kwanza barani Afrika, mtu hutembea mjini usiku na mchana bila tatizo, mnasikia mahali pengine hukaa vipi ? Cha pili Nchi yetu huchukua nafasi ya tatu duniani, mtu hutoka anapotaka na kuenga anapotaka”

Rais Kagame aliendelea kwa kusema kuwa Rwanda haitaki mtu kukomeshwa katika kazi zake : “Hatutaki mtu akomeshae mnyarwanda kwenye kazi zake, hatutaki pia akomeshe mwenzake”.
Ziara ya Rais Kagame huendelea wilayani Kayonza.

Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments