RPF, Kuimarisha uhusiano na Chama cha kikomunisti cha Uchina

1

Katibu Mkuu wa RPF Francois Ngarambe (kushoto) kupeana mikono na Wang Heming mjini Kigali jana
Rwanda Patriotic Front (RPF) kusukumwa kwa jinsi chama cha kikomunisti cha china(CPC) chatawala na kufanza makada, ni sababu muhimu RPF inaangalia kuchora somo kutoka kwao.

Hii ilionekana wakati ya ziara ya siku tatu ya wajumbe wa CPC waliotembelea Rwanda kwenye mwaliko wa RPF-Inkotanyi. Wajumbe wakiongozwa na Wang Heming walikaribishwa na Francois Ngarambe katika makao makuu ya RPF(Kimihurura).

Wang alipongeza ushirikiano wa vyama , alisema itasaidia kushiriki uzoefu ili kuendeleza nchi kijamii na kiuchumi.
Alisema ‘’tuko tayari kuendeleza zaidi na kuimarisha uhusiano na RPF kwa msingi ya usawa kamili na kuheshimiana.’’

Kufuatia mkutano huu, Justine Mukobwa, kamishina wa RPF alisema kuwa licha ya mipango pamoja ya fedha yakiendelea miaka 18 iliyopita, bado kuna mengi ya kujifunza kutoka wenzao.

‘’Kuna mengi ya kujifunza kutokana na shuguli za chama hicho, kuanzia na jinsi wanafunza makada wao, wana shule na shuguli nyingine ambazo kuimarisha chama kupitia kuwawezesha makada wao.’’Mukobwa alisema.

Wang alisema alikuwa kuizuru Rwanda mwaka wa 2006, tangu wakati huo alichangazwa na mabadiliko kwa upande wa maendeleo ya nchi.

Mwaka jana katika mpango wa ushirikiana na nchi za Afrika, Rais wa Jamhuri ya Uchina Bw. Xi Jinping alitangaza Mabilioni 60 dala za marekani ili kuendeleza kiuchumi nchi barani katika huduma na shuguli mbalimbali miaka mitatu ijao.

Nchini Rwanda, idadi ya miradi tayari kutengenezwa kwa ufadhili wa uchina ikiwa ni pamoja na upanuzi wa Hospitali ya Masaka, barabara ya kilomita 50 za urefu mjini Kigali, Ujenzi wa ofisi za serikali ambayo nyumba ya ofisi ya waziri mkuu na wizara nne nyingine.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

Tumia Comments