Kikombe ni chetu – Kocha wa APR FC aliapa, Bokota Alabama kufufua AS Muhanga.

Nizar Kanfir, kocha wa APR FC
Bingwa mtetezi wa ligi kuu ya kandanda nchini Rwanda AZAM PREMIER LEGUE baada ya kuifunga Police Fc, pointi alioiwezesha kuongoza meza ya ligi kabla ya Mukura Vs, Rayon Sports, AS Kigali na Police timu kubwa zilizotarajiwa changamoto timu ya kijeshi APR FC.

Baada ya kuongeza alama mpaka pointi 40, kocha wa APR FC, Bw. Nizar Kanfir ana matumaini ya kuweka kombe katika kabati ya timu ya kijeshi APR FC.
Alisema ‘’hii ni matokeo muhimu tulitaka, nimefurahia sana wavulana wangu, tuna mwelekeo wa kushinda mechi zijazo ili tushinde kombe.’’

AS Muhanga timu inaetoka mkoani kusini kusajili pointi tatu, tatu bila kikomo baada ya kurejea wachezaji maarufu kama BOKOTA Kamana Alabama na Hategekimana Gangi wanaosemwa kufufua AS Muhanga, timu iliyokaa katika eneo nyekundu ya meza ya ligi miezi kadhaa iliyopita, ingawa hivi sasa inaonekana kupanda juu.

Ikiwezekana kwamba APR FC kutetea tena heshima ya kijeshi, itakuwa kombe la 15 baada kuwanzilishwa mwaka 1995.

Bokota Kamana Alabama ndiye anaweka AS Muhanga mgongoni wake

MEZA YA LIGI

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments