PICHA KADHAA : AMAVUBI kwaheri !!,Uganda 2-1 Rwanda (kwa ujumla 3-2)

Kabumbu:Timu ya vijana tayari kutupwa nje ya michuano lengo la kufuzu katika kombe la vijana chini ya miaka 20 barani la Afrika, Vijana wa Uganda wameichapa AMAVUBI mabao mawili kwa moja(2-1) uwanjani wa Nambole mjini kampala, nyumbani kwao.

Rwanda imesaidiwa kufungua nyavu za Uganda kwa mara ya kwanza na Biramahire Abedi katika dakika ya 17 lakini baada ya dakika chache (dakika tatu tu !) zifuatayo Zaake Luboyera wa Uganda hoppos ameshinda bao la kusawazisha.

Katika kipindi cha pili, dakika 58 ya mechi, mabeki wa AMAVUBI wamefanya makosa aliyozaliwa penati kasha Zaake Luboyera ameipiga vizuri.
Mechi kumalizika 2-1, kwa ujumla 3-2 kwa ujumla wa mabao yote alioshindwa katika mechi mbili.

WACHEZAJI KWA UPANDE WOTE

Uganda Hippos XI : James Ahebwa, Umar Mukobe, Hussan Musana, Halid Lwaliwa, Geoffrey Wasswa ,Hassan Musana, Daniel Shabena, Emma Olinga, Frank Tumwesigye, Edrisa Lubega, Pius Wanji, Zaake Luboyera

SUBS : Eric Kibowa, Julius Poloto, Yasin Mugume, Martin Kizza, Nicolas Kagaba, Shafiq Kajimu, Muhammad Shaban.

Rwanda U-20 XI : Jimmy Nzeyurwanda Djihad (Isonga), Ange Mutsinzi (AS Muhanga), Aimable Nsabimana (Marines Fc), Aman Niyonkuru (Bugesera Fc),Arafati Sibomana (Amagaju Fc, Kevin Muhire (Rayon Sports),Manishimwe Djabel (Rayon Sports), Abeddy Biramahire (Bugesera Fc), Vedaste Niyibizi (Sunrise Fc) Blaise Itangishaka (Marines Fc), Savio Nshuti Dominique (Rayon Sports),

SUBS : Jean Paul Ahoyikuye (Nyagatare Fc), Patrick Ndikumana (Rwamagana City Fc), Aime Ntirushwa (Interforce fc), Fred Ngabo Mucyo (AS Muhanga), Yamini Salum (SC Kiyovu) na Innocent Nshuti (APR Fc Academy).


Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments