Rwanda husaini makubaliano ya Paris kuhusu mabadiliko ya hewa, Marekani na Uchina bado hawakusaini.

Louise Mushikiwabo
Jana alhamisi mwezi Aprili mwaka wa 2016 mjini New York nchini Marekani kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Waziri wa mambo ya kigeni na ushirikino Bi Louise Mushikiwabo ametia saini kweny makubaliano ya Paris lengo la kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Ni makubaliano ambayo alikubaliwa tarehe 12 mwezi Desemba mwaka wa 2015,Mkutano uliokusanyika viongozi duniani nzima kwa mara ya 21. Kwa mwisho wa mkutano nchi 196 ziliyohudhuria mkutuno hakukuweza kukubaliana.

Kutafuta faida zaidi, Maendeleo ya kisasa, ukataji wa miti vinafanywa bila kutetea mazingira ni miongoni kubwa kuchangia katika mabadiliko ya hali ya hewa.
Makubaliano haya alitiwa saini na nchi 160 tarehe 22 mwezi Aprili 2016, ni pamoja na makala mbalimbali anayo lengo ya kupungua moshi anayotumiwa hewani.

Wizara ya maliasili imetangaza kwamba sasa mhuko wa kudhamini miradi ya kutetea mazingira ‘’FONERWA’’ tayari kukusanya mamilionoi100 dola za marekani ili kusaidia miradi hiyo inayotetea mazingira.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments