Rais Kagame ahudhuria mkutano wa Northern Cooridor

Rais Kagame ahudhuria mkutano wa Norhern Corridor mjini Kampala pamoja na marais wa nchi ziundazo Northern Corridor, mkutano huu wahudhuriwa kwa mara ya 13, lengo kuu la mkutano : ni kuendeleza shughuli za biashara, nchi hizo wanachama wa Nothern corridor integration Projects( Rwanda, Kenya, Uganda na Sudan Kusini).

Shabaha la Northern Corridor ni kama kurahisisha biashara, kuharakisha kujengwa kwa barabara ya reli na kuendeleza Jumuia ya Afrika Mashariki.

Mkutano wa 12, ulitokea mjini Kigali mwezi Januari, 2016 ; Washiriki walihitimisha kukaribisha nchi nyingine zilizohitaji kuunga mkono na nchi wanachama wa NICP na kusaidiana kupigana mvamizi wakati wowote nchi moja miongoni mwa wanachama kushambuliwa kwenye upande wa ulinzi.

Rais Kagame Paul amekaribishwa na mwenzake Museveni wa Uganda

pia Kikwete, Rais wa Kenya amefika mjini Kampala


Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments